nimependa mstari wa mwisho
cocastic...
Lakini si wabaya wa kiwango hicho ujue.yani mjeda unamfanisha na bwana chui
u must be kidding huh..
Nilijualo ni watu wakimya wasio na papara na wanahuruma pia..tatizo huja pale ukimmchokoza aiseh..
utaimba mapambio yote ya kusifu na kuabudu