Na wewe weka wakwako tushuhudieHuu mwandiko haujapishana na wangu. Njoo nikupe hapa cheques deposit unisaidie kujaza....
Na wewe weka wakwako tushuhudieHuu mwandiko haujapishana na wangu. Njoo nikupe hapa cheques deposit unisaidie kujaza....
Naomba nifundishe kuandika kama wewe
Dah...🙌Unachukua pen na karatasi unaandika 🤓🤗
Dah...🙌
Mambo vipi mkuu
Namna unayo bhanaSina namna ya kuthibitisha mkuu

JoanahHaya weka picha sasa
Mwandiko wa kuombea mkopo huuIla weww si wa kunicheka joanah
View attachment 1546662
Hebu jaza kama unavyojaza zile fomu za shibHuu mwandiko haujapishana na wangu. Njoo nikupe hapa cheques deposit unisaidie kujaza....
Hapana bhana hujanikwaza🥂🥂Nisamehe lkn kama nimekukwaza mkuu
Achana machachari basi😅😅😅Safiii, hilo lips limebeba ujumbe mahususi..
Poa kaka mzima!Mambo vipi mkuu
Sina bhana...Namna unayo bhana![]()
Naweka mkuu nipe muda ni editHaya weka picha sasa
Wapi wanakopesha jirani tukakope??Mwandiko wa kuombea mkopo huu
Somo la mwandiko ulikua unapata 100% lakini hesabu unapata 20%
Nenda fincaWapi wanakopesha jirani tukakope??
Jirani unatafuta laana wallah..😅😅Somo la mwandiko ulikua unapata 100% lakini hesabu unapata 20%