Nakukumbuka sana
Na nakuombea neema ya Mungu katika mambo mengi..na amini Mungu yupo kwa ajili yako na Kristo alikuja kwa ajili yako kukutafuta..
Ona ni jinsi gani ulivyo wa thamani mbele za Mungu
Cha muhimu ni wewe kutii na kufuata maagizo yake na MUNGU ana neno kwa ajili yako na wengine wengi kupitia mimi muda ukifika
Ujiandae kupokea bila kujali litakufurahisha au halitakufurahisha maana Neno la MUNGU ni zaidi ya upanga ukatao sehemu zote