Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo wakati naenda zangu kazini Nimetupia zangu mitupio yangu ya pakistani zaidi



sema kuna mahali nikasimama kuchungulia vijana,nikashangaa kuna majamaa wamenifata kwa nyuma wakanipokonya kofia yangu,halafu wakaniambia eti wanamaongezi na mimi.

Wakaniambia nipande gari lao,mimi hata siwaelewi hawa majamaa nipo nao hapa tunaenda tu "Sijui wanataka niwauzie kofia yangu" sema tukifika huko Bei ntayowapiga hawatoamini macho yao.

maana nawaskia wakiongea tu "huyu leo atakuwa mgeni wa koplo hamisi" itakua huyo koplo hamisi ndio muhasibu wao,sema acha nifike huko,Ntawapa Updates wakuuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ