Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe unanionaje!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mwili haukujengwa kwa tofali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubonge hauji hivi hivi...tumefanya mazoezi ya kutosha pale msange jkt
Kumbe ulikuwa msange tabora?? Mie nilipangiwa rwamkoma musoma ila nikafanyiwa mpango nikaenda ruvu kibaha ndiyo nikapiga pale!!
 
Mna kazi sana nyie watu unajikuta kila kipitacho machoni ni kinono
 
Sasa Ruvu Lile la watoto walaini
Weee nani kasema?? Hayo maneno tu hata mimi nilikuwa nayasikia kabla sijaenda ila nilivyoenda nilichokikuta kule mbona nililaani walikuwa wanasema oohh ile kambi ya wagonjwa kwahiyo ni mwendo wa bata tu sasa kwa taarifa yako hao wagonjwa walikuwa wanatengwa ndiyo wanapewa kazi rahisi wengine wote doso kama kawa kama dawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…