Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanafamilia sijui umewapa mlungula[emoji134][emoji134]
Eti dada Makiseo uko tayari kukaa kikao cha kuamua hii kesi kweli? Maana najua hata wewe amekukosea.
Huyu hata muda wa kumsikiliza hivi tunao tena kweli? Tumempa nafasi kibao akatuchukulia poa sana.
Binafsi sipo hata tayari kumsikiliza tena. Nenda kwenye Sheria mdogo wangu. Dadako nipo hapa.[emoji3]
 
[emoji5][emoji5]
 
Kumbe na zenu zimechanwa hadi mapajani[emoji134][emoji134][emoji134]
Maisha yanakwenda kasi sana aiseee!

Suruali za dada zao! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tena hawa zao ndiyo zimechanwa vibaya hadi mtu unajiuliza sasa nao wanamuonesha nani mapaja yao! [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…