Kuna siku nilikua napita nikaenda nunua kuku mnafu na chips nikale home. Nimeingia kwenye uber ile harufu nikashindwa kuvumilia. Hata tangi bovu sikufika nikamaliza chakula changu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzii wa hapo ni nomaa mkuu..wanachoma na chumvi tu unapata ile ladha halisi ya mbuzi
👌Kweli kabisaVery true, maisha ni kama mshumaa tu. Kadri umri unavyokata mawimbi, ndio tunazidi kuyaelewa haya.
Sawa Tajiri [emoji4]Niliingia kwenye majukumu simu nikaitupa pembeni nikawa Nadeal na wateja kwanza
I miss you too[emoji23]
Kama unampenda mtu mwambie,mmekoseana sameheaneni,Saidia watu kwa kadri unavyoguswa pasipo kutegemea something in return....
Uhai ni kama mshumaa
Ni nzuri ila sio kiviiiile. Ukitaka machimbo ya kitimoto tamu nicheck siku ukiwa unaenda nikwambie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku nilikua napita nikaenda nunua kuku mnafu na chips nikale home. Nimeingia kwenye uber ile harufu nikashindwa kuvumilia. Hata tangi bovu sikufika nikamaliza chakula changu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss you zaidi Sweetheart.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekazania za wenzie zake haweki
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] i miss ya so badly
Miss you zaidi Sweetheart.
HahahahaMkimaliza story zenu za machimbo ya mbuzi na kitimoto muweke picha please.
Hahahaha umepiga tofali kuogopa usumbufu sio ?Ni utani tuu mkuu.
Inbox ndio PM , ila mimi natani tuu PM nimepiga tofauli huko kwanza [emoji41]
KaribuSawa ntakucheki soon
Tajiri mchezo?? Mpambanaji tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Tajiri [emoji4]
Haahaahaa hakukua hata na mgenii....itabidi nikualike wewe sasaNdiyo naona hii Comment Hazard CFC
Toka ile siku umeniweka kwenye ule uzi wako na kuniahidi kunionesha mguu wa mgeni hadi leo hujaweka!!! Nasubiri picha yako.
Mweeeeh![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwa hiyo ile kutuweka live ilikuwa nini? Na ule mkoba wa pink?Haahaahaa hakukua hata na mgenii....itabidi nikualike wewe sasa
Tajiri bhana, unakula Tangibovu ofisi ipo ujiji.[emoji23]Tajiri mchezo?? Mpambanaji tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]