Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni nouma mangi..


Usikutwe na Bwana Pepsi.
Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing


Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line
Hahaha

Mtu chake bhana , alikuwa anaingia kwenye shimo la Ngiri kwa kichwa..
pm kuchungu tu pm chache sana tamu,imagine unachat na mtu pm..

ila wote mnaliana denge yani mpk uotee mtu muende sawa pm shughuli..

ndio maana nayakataga mawasiliaano ya kule maana sionagi hata utofaut na huku nnje...
Bora umewahi mapema kujifunza theory maana

ungechelewa kidogo tu ungejifunza Practical na

hamnaga mwanafnzi wa practical haelewi,somo lingekukaa ipasavyo.
Hahahaha, wadau mmenichekesha sana , kuna kitu nimejifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…