Ile uliyofuta naomba marudio msinifanyie hivi
Huu mguu ni kiboooko[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]
Bby una kucha nzuri
Hongera boss..Najifunza i like learning new things thats why unakuta najadili quantum physics though am not expert there
Namalizia kitabu cha what is real .... Am getting mad 😅😅
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178].
Hahahaa. Unataka kusema unajua picha za wote bby wangu?? Picha ya my Shunie sijaiona bado.
Watu mkijijua ni ma handsome mnasumbua hata picha hamkati.
Dear umeshaweka yakwako.?Mbona we sijakuona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mkijijua ni ma handsome mnasumbua hata picha hamkati.
Ulipost nini eti ukafuta?Weka mama
Picha ipi hiyo hadi mods waliamua kuifanya ya mauzo mamy.Ngoja nipost kitu kingine naona picha yangu iko kwa display bado wakati nishatia deleteView attachment 1221189
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Heri wale ambao umri umewatupa mkono maana hawa ni kama watoto wao
Mkuu huko ni mkoa gani udongo mwekundu hivo.Nimerud tenaView attachment 1221275
Kwanini umeanza na "kama"?Kama ni wewe basi upo vizuri.
Bila shaka unaongelea kwa unaowajua.
Hahaha duuh naona umeshindwa hata kumficha huyo mpiga picha mkuu??Tumieni jicho la tatuView attachment 1221286