linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Umeona sasaWatazimia,vinono huonwa na wakubwa tu
Umeona sasaWatazimia,vinono huonwa na wakubwa tu
umenena mkuu[emoji16][emoji16]Nawe weka
Nawawekea wanaoniwekea zao[emoji4]Nawe weka
Soon nawekaumenena mkuu[emoji16][emoji16]
hahah.. nkipiga ntawek ...ucjali eeh..mm mviv sana wa kupig picha asee..nna pich 5 zang tu kwa hii cm yng[emoji16][emoji16]Weka sasahivi
Weka hata ya Zamani [emoji4]hahah.. nkipiga ntawek ...ucjali eeh..mm mviv sana wa kupig picha asee..nna pich 5 zang tu kwa hii cm yng[emoji16][emoji16]
Haha jmm amtaki tuwajue au pengine ukute ni jirani yangu hahahaha[emoji3]hahah.. nkipiga ntawek ...ucjali eeh..mm mviv sana wa kupig picha asee..nna pich 5 zang tu kwa hii cm yng[emoji16][emoji16]
Bado haijaisha rafiki ila inakaribiaHahahaha, nadhani imeisha salama mpk sasa
AiseeeAtakaye nifahamu aniambieView attachment 1538673
Vip kwan ume nifahamu? [emoji1783]Aiseee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi kila nikija nakuta picha zimefutwa sijui nakwama wapi aaaah!View attachment 1538681
Tafuta movie uangalieAlone sina ata kampan
Daah siwezagi angalia move peke yangu isitoshe sina popcorn sina karanga yaan chochote cha kitafuna hyo move itaniboa tuTafuta movie uangalie
Ni mazoea tu hayo jaribu siku moja uoneDaah siwezagi angalia move peke yangu isitoshe sina popcorn sina karanga yaan chochote cha kitafuna hyo move itaniboa tu
Afu uje tuangalie wote Nita enjoy zaidi[emoji4]Ni mazoea tu hayo jaribu siku moja uone
Popcorn sio lazima try watching comedy movie hivi au yoyote ile utaenjoy ..
Kwanza uangalie wewe uone kama utaweza hiyo challenge .. then tutaangaliaAfu uje tuangalie wote Nita enjoy zaidi[emoji4]