Mimi magauni nilikuwaga napenda zamani! Ila as i grow up najikuta napoteza interest kwenye magauni hivyo mie ni mwendo wa suruali tu na tshirts au shati za mikono mirefu halafu nakunja!
Umeona eenh! Na pia haihitaji ukuwe na kitambi sasa wengi wenye vitambi tulishalijua hilo mapema tukaona bora tuachane nazo tu ili kukwepa aibu na fedheha za kujitakia!