Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,405
Rusha picha kamanda tuone laivu hilo balaa...Hapa nilipo leo kuna balaa zito![]()
😅😅😅utakwenda na maji jombaa..🤛🤛🤛Mmmm...haya bhana
Wacha nife na utamu wangu kama muwa
Hahaha.....nikwelejage ng'ombe itano ili nagatole aganike akaNzunawane....
Tolaga nkoyi. Akenaka gakima gete niyo gali na afiya ya wiza. Unene nagufunya ng'ombe yimo![]()
Hapa nnapiga kitu inaitwa "corona kitu gani"Rusha picha kamanda tuone laivu hilo balaa...
Si unaoana hata mwandiko wenyewe....utakwenda na maji jombaa..
![]()



Ndo nini sasa..mnanisema kilugha T 1990 ELYHahaha.....nikwelejage ng'ombe itano ili nagatole aganike aka
Ila gagoninhaga bodata sana ganike kweli nange gayanda?
Mmmh...hapana hatukusemi kilugha bhanaNdo nini sasa..mnanisema kilugha T 1990 ELY
Wozaaaaaahhh🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Lengo langu Linatimia kwa kushindo😅😅😅Si unaoana hata mwandiko wenyewe....
Huu ndo utata sasa mkuu
Wacha niepuke kwenda na maji bora niende na utamu wangu tu![]()
Kumbe nini sasa..🤣🤣umeambiwa unitafsirie na SHIMBA YA BUYENZE hukooMmmh...hapana hatukusemi kilugha bhana
Ni Korona hii bia ya Amigos wa Meksiko au ni kitu hard liquor? Kama ni hiyo bia mi wala ilikuwa hainileweshi wakati nikiwa bado mwanachama. Sana sana kuumwa kichwa tuHapa nnapiga kitu inaitwa "corona kitu gani"View attachment 1537262





Hapana mkuu, huu ni cocktail, hatari sana ina gin, whisky, rum, tequila, vodka na cokeNi Korona hii bia ya Amigos wa Meksiko au ni kitu hard liquor? Kama ni hiyo bia mi wala ilikuwa hainileweshi wakati nikiwa bado mwanachama. Sana sana kuumwa kichwa tu
Siku ukiweza kuipata hii kitu inaitwa Dogfish 90 utakuja kusimulia. Ni IPA moja laini sana. Ukikata mbili tu safiiii
View attachment 1537280
Hapa nnapiga kitu inaitwa "corona kitu gani"View attachment 1537262
Hapo sasa itabidi upambane na hali yako kwa sababu huo mchanganyiko tu ni balaaHapana mkuu, huu ni cocktail, hatari sana ina gin, whisky, rum, tequila, vodka na coke

Nilikuwa najua ni Long Island ila ilipowekwa whisky nikahama🤣🤣Hapana mkuu, huu ni cocktail, hatari sana ina gin, whisky, rum, tequila, vodka na coke
Bdio maana nkasema balaa zitoHapo sasa itabidi upambane na hali yako kwa sababu huo mchanganyiko tu ni balaa![]()
Kwema kabisa jirani..habari yako