Sijui kwanini sipendi kutumia majina mazuri mazuri. Nafikiri labda kwa sababu hata jina langu halisi ni baya ndiyo maana hata nickname yangu napenda iwe mbaya pia.
Huwa inakera hasa unapochangia watu wakihoji jinsia yako , sure I totally agree with you kuna id ukiwa nayo pm utasumbuliwa mno wakati natumia Aurora ilikuwa shida kumbe kuna pornographic actress anaitwa Aurora Jolie .
Duuh unaona sasa! Mimi id ya Marianah plus ile avatar niliyoweka ya Ariana Grande watu walikuwa wanajazana pm utasema wameitwa vile yaani watu sijui kwanini wanapenda kufanya imaginations za uongo kupitia hizi ids na avatars za uongo tu!
Sijui kwanini sipendi kutumia majina mazuri mazuri. Nafikiri labda kwa sababu hata jina langu halisi ni baya ndiyo maana hata nickname yangu napenda iwe mbaya pia.
Duuh unaona sasa! Mimi id ya Marianah plus ile avatar niliyoweka ya Ariana Grande watu walikuwa wanajazana pm utasema wameitwa vile yaani watu sijui kwanini wanapenda kufanya imaginations za uongo kupitia hizi ids na avatars za uongo tu!
Daah aise mimi nahisi huwa niko complicated sana kwenye mambo yangu! Yaani kuchagua nickname tu huwa naangalia mambo mengi kwanza maana ya jina halafu idadi ya herufi halafu mpangilio wa herufi na mengineyo!
Duuh unaona sasa! Mimi id ya Marianah plus ile avatar niliyoweka ya Ariana Grande watu walikuwa wanajazana pm utasema wameitwa vile yaani watu sijui kwanini wanapenda kufanya imaginations za uongo kupitia hizi ids na avatars za uongo tu!
Mtu anafikiri ni wewe kabisa kumbe sio picha zenyewe za kudownload
Nahisi ni fikra tu mtu akiona ke ameweka avatar ya mwanamke mzuri anajiaminisha kuwa huyu ke lazima awe mzuri , wakati kiuhalisia sio kabisa .