Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,283
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia dogo!
Nataka watu waendelee kuniona kauzu washindwe hadi kuja pm kama kipindi kile maana naona kuna watu siku hizi wameanza mazoea mabaya na mimi!
Sasa wewe tano ulikuwa unabadili kila wiki
Ilikuwa wiki wiki jamani [emoji2092]Hapana siyo kila wiki nilikuwa nakaa miezi kwanza
Unanikumbusha mbali mkuu
Sure thingYaani hii hadi mtu aangalie mara mbili
MorningYaani hii hadi mtu aangalie mara mbili
Na mimi sijui nibadilishe[emoji848]Sure thing
Morning dear[emoji4]Morning
Ushawahi kubadili hata mara mojaNa mimi sijui nibadilishe[emoji848]
NiliwahiUshawahi kubadili hata mara moja
Umeshazoea hilo jina itakuwa ngumu kutumia Id nyingine unless uwe umeamua .Niliwahi
Yaani nilikaa wiki tu nikarudi kwenye jina langu
Yah nadhani nimelizoea Sana.Umeshazoea hilo jina itakuwa ngumu kutumia Id nyingine unless uwe umeamua .
Hahaha you're right huwa nakaa muda siwatafuti then ndo naomba request , adorabella nilichoka kulitumia nikaja Aurora nikaona mizinguo mingi nikaweka Rory kuna id ya mtu inafanana nayo ikabidi nibadilishe kwenda weyyln hapo kwa wey ndo nikasahau password .
Hahaha dear kweli hujazoea mie nakuwaga mkavu . Ikiwa Mara ya Kwanza unaona ajabu ila ukizoea hata huoni shida 😂Yah nadhani nimelizoea Sana.
Yaani muda huohuo tu nimebadili nikawa najiona wa ajabu.
Nikasubifi angalau wiki ipite ilinibadili Tena,sikumtafuta Tena melo.
Nikampm mwingine ila akaja nibadilishia Melo, yaani nilijisikia aibu na kuona nimemsumbua.
Na la kwangu si limekaa poa au sio[emoji41][emoji41][emoji23]?Hahaha dear kweli hujazoea mie nakuwaga mkavu . Ikiwa Mara ya Kwanza unaona ajabu ila ukizoea hata huoni shida [emoji23]
Jina limekaa poa sana hili .
hahaha karma mtu anaweza hisi ni me kiurahisi kuna id zinakera mtu akiona tu anajua wewe ni ke ,
Hamna jaribu tena , ila Zoe nzuri lakiniAise basi wengine tuna mikosi labda
Sure lipo freshiNa la kwangu si limekaa poa au sio[emoji41][emoji41][emoji23]?
Umejuaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani alipigwa ban may..ban miezi miwili nadhani.
Akasema haiewezekani nikae miezi yote hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787],naenda kwa gia ya kubadilisha password.
Yaani yule furaha yake ni kuwasumbua mods.