Kha kumbe hapo ndo shida sasa Ila ungejaribu tena uone kama watakubali .
Sasa unabadilisha tena nini jamaniMmhh najua watakataa tu. Labda nitafute mbinu nyingine kama hiyo uliyosema ya kujifanya nimesahau password.
Tunawasahau humu.Mawazo nayo yanabadilika mkuu. Unaweza kuwa unatumia jina hili then mawazo yakakujia ukajikuta unataka kutumia jina jingine wangeruhusu tu option ya mtu kujibadilishia jina mwenyewe kama mitandao mingine tu.
Sasa unabadilisha tena nini jamani
Tunawasahau humu.
Ikiwezekana watoe kabisa huo utaratibu wa kubadili jina
Kuna cha usumbufu mmoja humu,akipigwa ban anatumia mbinu hiiNzuri tu dear, habari ya huko ? Sikuwepo Kama miezi miwili hivi . Hahaha naendaga kwa Max ananibadilishia .
Kama Safari hii nilisahau password ya akaunt yangu ikabidi nifungue id nyingine niwasiliane na mods mwisho wa siku wakaunganisha kuwa Id moja na jina likabadilishwa.
Nataka nirudishe Karma halafu basi ndiyo nitulie sasa
Msituchanganyie majina jamaniAh wapi thubutu yao
Sasa wewe tano ulikuwa unabadili kila wikiYeah kama sikosei ulianza na Adorabella ukaja Aurora ukaja Rory ukaja Weylyn ukaja Oluwa ukaja Tansy. Umetumia usernames sita na interval yako ya kubadili ni miezi michache michache tu ila mimi usernames tano tu nimezinguliwa kama nini.
Kuna cha usumbufu mmoja humu,akipigwa ban anatumia mbinu hii
Karma tena!?!!
Bora wakatae tu
Hahaha you're right huwa nakaa muda siwatafuti then ndo naomba request , adorabella nilichoka kulitumia nikaja Aurora nikaona mizinguo mingi nikaweka Rory kuna id ya mtu inafanana nayo ikabidi nibadilishe kwenda weyyln hapo kwa wey ndo nikasahau password .Yeah kama sikosei ulianza na Adorabella ukaja Aurora ukaja Rory ukaja Weylyn ukaja Oluwa ukaja Tansy. Umetumia usernames sita na interval yako ya kubadili ni miezi michache michache tu ila mimi usernames tano tu nimezinguliwa kama nini.
Kuna cha usumbufu mmoja humu,akipigwa ban anatumia mbinu hii
Msituchanganyie majina jamani
hahaha karma mtu anaweza hisi ni me kiurahisi kuna id zinakera mtu akiona tu anajua wewe ni ke ,Tulia dogo!
Nataka watu waendelee kuniona kauzu washindwe hadi kuja pm kama kipindi kile maana naona kuna watu siku hizi wameanza mazoea mabaya na mimi!
Umejuaje?siyo mbao za mawe huyo
sasa kuchanganyikiwa uchanganyikiwe wewe lawama zije kwangu tena, wewe ukichanganyikiwa hiyo ni juu yako.
Najua wewe unataka nirudie Marianah ila hilo ndiyo kabisa katika majina ambayo sijawahi kuyafikiria kuyarudia hilo ni namba moja yaani bora hata ungeniambia Edelyn
Yaani hii hadi mtu aangalie mara mbilihahaha karma mtu anaweza hisi ni me kiurahisi kuna id zinakera mtu akiona tu anajua wewe ni ke ,