Selfika na JF: Snap it. Show it

Saint Anne
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanarukaruka kama bisi mie siku hizi nimeamua kuwapotezea tu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila akili zako
 
Yaani acha tu. Ulianza kupoa baada ya wale wachangiaji maarufu kuanza kuhepa mmoja baada ya mwingine wapo walioaga na wapo waliojisepa kimya kimya tu.
Mwanzoni vitu huwa vinaanza vizuri mno . Ila wakaja watu kulalamika huu Uzi ni show off kwamba Kila mtu anapost Cha kwake .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanarukaruka kama bisi mie siku hizi nimeamua kuwapotezea tu
Yaani Mimi huwa najuaga tu makombora yanakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi Hadi nilikuwa naumwa kichwa kwa sababu ya usingizi maana muda wote nilikuwa nakodoa macho humu.

Basi juzi nikapanda kule juu nikawa nasoma jinsi ulivyotiririka dada wa watu[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hata mimi kuna siku huwa narudi kule juu naanza kusoma baadhi ya comments zilizonifurahisha aise basi nacheka mwenyewe huku nikihuzunika kwa kukimiss kile kipindi, wewe ulikuwa unasoma comments za mwezi gani kwanza.
 
Nilisoma zile ulizokuwa unafunguka hadi miaka Yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasoma na za Lizarazu...
Nikaenda kumsoma na Kapeace...nikasoma na ule mtifuano ulitokeaga humu[emoji2092]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…