Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtakatifu hebu niite kwenye huo uzi nikaupitie now
 
Kwa kweli! Ukiwasikiliza unaweza ukaona dunia haina maana kabisa kumbe ni wao wenyewe tu!
Yaani dunia isiwe na maana kwa ajili ya wapiga ramli wachache ??
Haiwezi tokea


Mimi huwa nawaza Sasa huyu kanipigia ramli na bado kukasirika amekasirika yeye, na Mimi nikianza kumpigia ramli si atalia kabisa.
Naishia kumhurumia.
 
Aahh mwanzoni watu walikuwa wanamwaga picha balaa ilikuwa hamna maneno maneno zaidi ya kusifiana tu. Daah usinikumbushe enzi zile huu uzi bado uko mbichi we used to have fun kwa kweli.
Mimi Hadi nilikuwa naumwa kichwa kwa sababu ya usingizi maana muda wote nilikuwa nakodoa macho humu.

Basi juzi nikapanda kule juu nikawa nasoma jinsi ulivyotiririka dada wa watu
 
Yah
Changamsha genge na bro wetu nyenyere

Mimi nilikuwa naona Kama comedy flani,halafu siku hizi kumepoa kule japo Kuna dada fulani anajitahidi kukuchangamsha

Mie ndiyo maana nimehamia CC tu. MMU huwa naenda mara moja moja sana nikiona labda kuna uzi umechangamka.

Sijui kwanini mie ni ngumu kumjudge mtu kutokana na maandishi yake humu! Halafu wengi wenye tabia ya kujudge watu ndiyo wale waliomuamini hadi yule umomi kuwa kweli ana stress za maisha na aliamua kujiua sababu ya stress kumbe mwenzao anawachezea akili tu hii miandiko yetu humu inawadanganya sana watu!
 

Mimi nashinda kotekote.
Nikitaka kucheka huwa nakuja Huku na siasani.

Buana wee zile nyuzi za Umoni ilikuwa patashika nguo kuchanika

Kama movie za kikorea...huelewi mwwendelezo utakuwaje

Walitifuana watu.
Wewe ulikuja wakati tayari kuna nyuzi zimefutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…