Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena siku hizi mwanaharakati mwenzangu Zoë amepumzika kidogo kwahiyo majukumu yote ameniachia mie[emoji23][emoji23][emoji23]

Labda kwa vile ule haukuwa uhalisia wangu ndiyo maana ilikuwa ni kwa muda tu nikashindwa kuendelea. Mwanaharakati wa kweli hapumziki wala haachi mie nimeamua kufuata uhalisia wangu tu.
 
Hahaha mkuu wapo humu! Watu ambao wakikosaga hoja kazi yao ni kuanza kuhusianisha unachoandika humu na tabia zako halisi!

Mimi nilishakaa hadi na wachungaji na wakanidescribe tofauti hivyo hadi kesho siwaamini! Sembuse hao wanasaikolojia!
[emoji23][emoji23][emoji23]hao psychologist tuishi nao tuu ivo ivo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just joking ,me huwa Sina time na personal life ya mtu
 
Labda kwa vile ule haukuwa uhalisia wangu ndiyo maana ilikuwa ni kwa muda tu nikashindwa kuendelea. Mwanaharakati wa kweli hapumziki wala haachi mie nimeamua kufuata uhalisia wangu tu.
Yah
Changamsha genge na bro wetu nyenyere[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nilikuwa naona Kama comedy flani,halafu siku hizi kumepoa kule japo Kuna dada fulani anajitahidi kukuchangamsha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo,Mimi mtetezi wao.
Hawa Watu ni dada zetu,ni mama zetu.

BTW yapo mengi mazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera Sana maana wengi wao huwa wanakosaga hata nguvu ya kujitetea

Hayo mazuri ni yapi?[emoji4][emoji4]
 
Ndio hapo sasa
Wakitupachika Wala hatupungukiwi chochote na maisha yanasonga na sisi tutabaki kuwa sisi[emoji847][emoji847][emoji847][emoji4]

Yaani tatizo Watu ukiwashinda hoja wanaanza kukuvamia mwenyewe...jf huwa inanichekesha Sana[emoji1787]

Kwa kweli this is what I always say! What people think about me ain’t gonna change the reality!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…