Mimi yangu niandikie kesho.. maana mimi ni special case[emoji848][emoji848][emoji848]Depal....
Kesho naona ina mambo mengi,ngoja nianze muda huu...
Unazo kilo 53 na lengo letu uwe na kilo 58 to 60:
Endelea kupunguza matumizi ya limao kwa wingi(jitahidi ili tusitwange maji kwenye kinu).
Jitahidi ule wanga na nyama kila upatapo nafasi na hapa ule hata kama hauna njaa iilimradi iwe ni mlo wa mara tatu kwa siku.
Weka msisitizo kwenye matumizi ya vitu vyenye sukari kama Juice,Cake na soda;angalizo usizidishe matumizi yake nayo yana madhara kiafya..
Pata muda kupumzika pale utokapo kwenye Shughuli zako za kila siku at least uwe na masaa yasiyopungua manane ya kulala na kuifanya akili Irelax...
Chips na Pork usiziweke mbali pia angalau kwa wiki upate mlo wa aina hii.
Imani yangu ukiyafanya haya kwa kiasi utafikia lengo nzuri fanya na mazoezi mepesi ili isije kuwa shida kubalance cholesterol .....
Utakuwa mkimbikiziAh wapi [emoji85][emoji85]
Mbona mimi ni mtanzania ila siwapendi [emoji2088][emoji2088]
Si ndio hapo sasa!!!Ah wapi [emoji85][emoji85]
Mbona mimi ni mtanzania ila siwapendi [emoji2088][emoji2088]
Basi mie sio mtanzania.Jana na leo na hata milele wananambia
Hujambo dada Jael
Mie wala sina tatizo, kikubwa ahadi itimizwe tyuuh.
Mimi yangu niandikie kesho.. maana mimi ni special case[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa mkimbikizi
Zoë kwema
Acha tu Mwanangu..Ubinadamu kazi..Masikini mama mdogo wangu
Nakuonea huruma unavyojitetea kwa wanaokulazimisha uweke picha ilihali wao hawajaweka
Mweeeh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona ndugu zetu wanajipa moyo
Nipe muongozo kabisa [emoji3][emoji848]Mimi yangu niandikie kesho.. maana mimi ni special case[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmmh
Acha tu Mwanangu..Ubinadamu kazi..
Huyo tangu mchana anatupanga tu hapa[emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba 3Hazina idadiView attachment 1530297
Africast ndiyo nini? Dimpoz toboa shavu tu mbona ni kazi nyepesi hiyoHapo chacha toto la africast, plz naomba nigawie dimpoz dea, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Huhuhuuh niletee hicho kitoboleo sasa, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Africast ndiyo nini? Dimpoz toboa shavu tu mbona ni kazi nyepesi hiyo