Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Ahaaa wap
Sanaaaah bhanaaaaah lol.
Sanaaaah bhanaaaaah lol.
Nasubiriaaa
Ulugiki ulinsukuma hayaga nenhe mang'ombe ntogwa wane










Wallah hivi kweli lolAhaaa wap
Karibu sana mkuuHuko nilikimbia Korona. Nipo home bro. Tena ajabu nipo hapa Chuga makaburi ya Kaloleni hapo kuna ndugu yangu amelala hapo nimekuja kumuona. Nipo hapa Silver Palm kibishi bishi tu![]()
Toa mkono
Wallah hivi kweli lol
Mmmmh.. nywele zetu umekata?
😀
Utajichanganya tu utakuja. Nilikuwa nakuona uko siriazi 24/7 kumbe mcheshi tu. Ole wakoHahahaa basi sikuji huko![]()



Afu hivo vidole viwili mbona havina kucha1😀





Mi sio msukuma bwana, naelewa mtu akiongea ila siwezi kukizungumza.Ulugiki ulinsukuma hayaga nenhe mang'ombe ntogwa wane![]()
Nipogo siriasi kiukweli.. tusitaniane jombaa😀Utajichanganya tu utakuja. Nilikuwa nakuona uko siriazi 24/7 kumbe mcheshi tu. Ole wako![]()