Kashindikana kabisa huyu... siyo damu yetu kabisa hii..
Poa mdogo wangu.. ngoja nifanye namna apatikane Msukuma na hivi kwa sasa nipo Usukumani huku.. Jiandae tu.. Nasikia hawa mahari zao ni dhahabu.. wana jeuri hao
Sent using
Jamii Forums mobile app