Anamwambia tafuta mwanamke wa kuoa, muoe huyu binti, ni mzuri sana, ni kufaidi tu. Haaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli? Halafu sijaelewa hata..
Ningemuomba T 1990 ELY anitafsirie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujambo lakini? Huko ufichwako hawajambo?Janja janja nyingi wewe mom
Umejiziba hadi basiNawa Zoom tyuuuh mie, uwiiiiiihView attachment 1529662
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anamwambia tafuta mwanamke wa kuoa, muoe huyu binti, ni mzuri sana, ni kufaidi tu. Haaaaaaaa
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nini kujisiliba marangi hivyo?Nawa Zoom tyuuuh mie, uwiiiiiihView attachment 1529662
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dea jamaniiih nawa tazama kwa macho tyuuuh, sio hadi mwili bhana.
Naomba uweke na mimi nioneOkay asantee [emoji3590]
Usijariiih mam ntapunguzaah.
Huyu alishashindikana siku nyingi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha...
Huyu SHIMBA YA BUYENZE ananidalalia hadi mimi Dada yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wee weka nione yako lolNaomba uweke na mimi nione
Usijariiiiiih ntakuita
Wimbo mzuri huo,
Weka picha yako sio tenzi.Wimbo mzuri huo,
Hujawahi kuisikia!??ipo kwenye Tenzi za rohoni...!!
Weka mwili mzima.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dea jamaniiih nawa tazama kwa macho tyuuuh, sio hadi mwili bhana.
Aisee rafiki yangu niko hapa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu alishashindikana siku nyingi.
Hebu fanya kamchakato sister umpate msukuma mmoja mjinga mjinga tule ubwabwa. Mahari mama kasema napokea mimi[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app