Me mwenyewe nilipataga ya first semester sema nikapata mshauri mkongwe wa chuo akanifundisha kucheza na beats hata sikuhangaika sana tena.
Wakabaki wale wanoko wa assignment tu kuhangaika nao kwenye floors kuomba maksi
Omba Mungu upone.
Mimi mwenyewe nilikuwa naogopa ila miaka ikasogea na hatimaye nikashikwa.
It's possible japo ni kazi sana.
Yaani miaka yote 2,3,4 au 5 yote uchomoke
Omba Mungu upone.
Mimi mwenyewe nilikuwa naogopa ila miaka ikasogea na hatimaye nikashikwa.
It's possible japo ni kazi sana.
Yaani miaka yote 2,3,4 au 5 yote uchomoke