Mkuu Captain hebu njoo uone ninavyokula za uso huku. Wakati wewe unaishiaga kusalimiwa na viemoji vitamu tamu. Nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa kichapo nitakachompa hatakaa akisahau
Nina maneno basi miye? Nimeshagivapu. Yote maisha tu bana. Yaani hao mabinti wawili wanavyonitesa na kuninyanyasa siyo poa hata kidogo. Itabidi tu nihame huu uzi mazima kwa sababu kila nikija ni za uso tu non stop dah !!!