hapana, kuna raha fulani tu huwa naipata nikitoa likes kwa watu wote wanaocomment kwenye huu uzi, haijalishi comment ya mtu imenifurahisha au imenikwaza, unless comments ziwe nyingi sana halafu nisiwe na muda wa kupitia moja moja.
Daah mkwepu jr noma aisee jamaa anagonga likes kwenye kila uzi kwenye kila jukwaa duuh