Ah uzuri ni kwamba hayana umuhimu wowote hayo mambo na wala siyo sifa mtu kuonekana anayajua, maana hata sisi tunaoyajua hayana msaada wowote kwenye maisha yetu ni mambo ya kupita na yako kwa ajili ya kurefresh minds tu.
Sasa kaka na wewe una uold school gani eti