Selfika na JF: Snap it. Show it


Yeah Marvel story zao nzuri sana na napenda namna wanavyounganishaunganisha matukio, yaani utajikuta tu unawapigia salute.

Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema eti movies za Marvel ni za kitoto damn yaani Avengers Endgame kwa sasa ndiyo the highest grossing movie worldwide, imesurpass hadi zile za James Cameron halafu mtu anakuambia Marvel wana utoto kwamba kule kwenye cinemas huwa wanajaa watoto tu.

Na ukiangalia top 10 ya the highest grossing movies in the world 4 au 5 ni za Marvel now where the hell is DC? Justice League eti box office inacheza kwenye dola milioni 600 na kitu wakati huku Avengers moja tu tunaongelea dola bilioni 1 hadi 2 na ushenzi!

By the way I thought Marvel kwa sasa wako chini ya Disney, while DC wako chini ya Warner Bros.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…