Hilo sahau kabisa marvel na dc kutengeneza muvi moja.
Dc ni ulimwengu tofauti na marvel ni ulimwengu tofauti. Lakini hata hivyo marvel tuna character wengiiiiiii mno wazuri sana hatumuhitaji Ghost rider abaki huko huko hata Zile muvi za Wisley snipes za vimpire zinatoka marvel. Ila hatumtaki.
DC na marvel hawawezi tengeneza movie moja ni sawa Mondi na kiba kufanya Kolabo. Dc mimi naona hua hawako serious sana kama marvel hata hivyo DC movies imshukuru sana Zack snyder kajitahidi kuweka kwenye reli.
Nilisahau kitu..
Ryan Reynolds alicgeza X Men, akacheza as Deadpool marvel kacheza pia kama Greena Lantern DC