Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Nyie watu!!!!@Zoë!!!!!
Natamani na mimi kumjua eti.. [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] mie nilikuwa natania tu
Nyie watu!!!!@Zoë!!!!!
Natamani na mimi kumjua eti.. [emoji3]
@Zoë Mdogo wangu.. Nakuomba.
Mmmmh!!!!Haya bhana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] mie nilikuwa natania tu
Andaa hela ya soda.
Mi nakauka Koo hapa halafu wewe hunisaidii hata[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe si una nguvu ya ushawishi? Ujue wewe unaweza ukamuomba mtu yeyote humu JF picha yake na akatuma hata kama hakufahamu!
Sasa hiyo karama uliyobarikiwa na Mungu kwanini usiitumie kutusaidia wengine tusio nayo? Mbona unakuwa mchoyo eti ewe Mtakatifu!
@Zoë Mdogo wangu.. Nakuomba.
Mmmmh!!!!Haya bhana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu naogopa kuwaomba picha
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaaaaahMazoezi kwa afya.View attachment 1524603
Hebu weka picha auntieeeh nione hayo macho, ile jana sijaona lol [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu weka macho yako hapa kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wewe mchochezi kaone, mi nilikuwa natania ila we umekomalia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] mmhh kama nani, uoga wako tu ila ukiomba watakupa.
Acha tabia mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah hadi nimejisikia vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi kafuta, yaani hadi najuta kujiropokea mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu mwambie dada wa watu acha uchoyo[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mdogo wangu..Nimekuelewa..Hauna haja ya kuniomba hivyo jamani dada mi nilikuwa natania tu mwenzio