Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamaniiiih mwenye ndinga aina ya BMW aweke, macho yangu yamemis kutazama, nipooze machungu ya HELSB.
Hiyo hapo mtoto mzuriii japo ni 3rd edition
20200730_185919.jpg

View attachment 1521714
 
Uwiiii! Utanifanya nilie kwa furaha jamani [emoji1734][emoji1734][emoji1734]

Asante sana. Na ukiendelea hivi muda si mrefu nitakutoa kwenye dhoruba ya matunda nibakie na Jael pekee. Yu medi mai dei na natumaini hujambo kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom