Sikumalizia tuu brother, zote zibadilike zifanane nz hizo nyeupe nyeupeOne day yes vipi tena wakati mzigo huo hapo?!
Mzee wa chimbo, nitume boss
Naomba unifundishe ku drive babuuh.
OukeeeeeyShukraan
Ipi hiyo babuuuh mmmh, mie nataka kusukuma ndinga tyuuuh. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Njoo takupa na ile zawadi nyingine[emoji1787]
[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
Asante [emoji1545][emoji1545]Hapana hizi ni taa za kisasa kwa nyumbani
Nimezipenda hizo za pili. Ubunifu maridadi sana.