Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Bora kuhonga kuliko kuchana mkeka namna IleRaha ya mkeka uchanue hakuna kubwa wala ndogo ukiliwa umeliwa tu haina tofauti na kuhonga.
Bora kuhonga kuliko kuchana mkeka namna IleRaha ya mkeka uchanue hakuna kubwa wala ndogo ukiliwa umeliwa tu haina tofauti na kuhonga.
Mambo gani tena haya mkuu ya kuamshiana minyoo tumboniWeka mbali na watoto,View attachment 1516462
Ulinihurumia kwa kuchana mkeka na ukachana au vipi mkuu.Siku ile hata posti zake zote alifuta. Hata mimi nilimhurumia kwa kweli..
Kiatu kimetulia nimekipenda😊😊
Wanyewe wanasemaga laki si pesa,chini ya laki si bora nipeleke inakoonekana ni pesa.Back to the topic naomba utabiri wako fasta.Bora kuhonga kuliko kuchana mkeka namna Ile
Mbona sikioni kiatu vizuri aise..fanya nikione bhana
Ile hela Bora ungenigawia nikale kitimoto mwanjelwa.Wanyewe wanasemaga laki si pesa,chini ya laki si bora nipeleke inakoonekana ni pesa.Back to the topic naomba utabiri wako fasta.
Umenionea wapi SHIMBA YA BUYENZEIle hela Bora ungenigawia nikale kitimoto mwanjelwa.
Utabiri naweza kukupa ila tatizo nikikupa na mimi nitakuwa nimeshiriki betting.
Nikikupea utawezana mkuu..Mambo gani tena haya mkuu ya kuamshiana minyoo tumboni

mi nilidhani bora kumpa hata yatima,kiti moto nyama buzi si bora kubet tu.Ile hela Bora ungenigawia nikale kitimoto mwanjelwa.
Utabiri naweza kukupa ila tatizo nikikupa na mimi nitakuwa nimeshiriki betting.
mi nilidhani bora kumpa hata yatima,kiti moto nyama buzi si bora kubet tu.







Alikuwepo hapa muda mfupi uliopitaUmenionea wapi SHIMBA YA BUYENZE
Ha ha mkuu ukipata mkeka niambie na mimi jitandikeSaint Anne nataka kutanua hapa naomba ushauri mganga wangu.
ExactlyRaha ya mkeka uchanue hakuna kubwa wala ndogo ukiliwa umeliwa tu haina tofauti na kuhonga.
😇Kiatu kimetulia nimekipenda😊😊
Nitawezana🎶🎶Nikikupea utawezana mkuu..![]()
Umewaona eeeWekeni picha sio story aaaaaah mnakera sasa khaaaaaah