Tag location nikufate 😉
Saint Anne nataka kutanua hapa naomba ushauri mganga wangu.
Tucheke kidogo na hizi video za wajumbeView attachment 1517266
. Ndio anarudi kwake kwa shida sasa hivi.Duh wenzetu habari ya vyuma kukaza mnaisoma mitandaoni tu.Wakati hii nakamatia mzee , Mamaa/Wife anakamtia Posh Cayenne ,aweke baby walker store
Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne nataka kutanua hapa naomba ushauri mganga wangu.




Siku ile hata posti zake zote alifuta. Hata mimi nilimhurumia kwa kweli..
Ngoja kichwa kitulie nikutandikie mkeka ila plz usibet hela kubwa kama ya siku ile.
Yaani ile siku niliumia ile hela dah![]()
Hahahaha, Mkuu hy ni mipango ya baadae, mzigo ukitiki kwa sasa tuendelee kuisoma nambaDuh wenzetu habari ya vyuma kukaza mnaisoma mitandaoni tu.
Mungu akujalie.Hahahaha, Mkuu hy ni mipango ya baadae, mzigo ukitiki kwa sasa tuendelee kuisoma namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilipoona ile hela roho iliniuma sana utadhani ilikuwa yangu,dah.Siku ile hata posti zake zote alifuta. Hata mimi nilimhurumia kwa kweli..
Kwani aliunguza kiasi gani?Mimi nilipoona ile hela roho iliniuma sana utadhani ilikuwa yangu,dah.
Hukuona picha?Kwani aliunguza kiasi gani?
Wajumbe siyo watu wazuri, wanakuangusha kweupeeee!Ntacheki na wajumbe![]()
Aisee! Leo ni leo.
Raha ya mkeka uchanue hakuna kubwa wala ndogo ukiliwa umeliwa tu haina tofauti na kuhonga.
Ngoja kichwa kitulie nikutandikie mkeka ila plz usibet hela kubwa kama ya siku ile.
Yaani ile siku niliumia ile hela dah![]()