Selfika na JF: Snap it. Show it

Labda nijaribu hii n
sema ukiacha mazoezi unanenepaaaaa
Ni kweli ukiacha mazoezi unakuwa kibonge zaidi ya mwanzo.

Basi kama huna uhakika na mwendelezo wa mazoezi jibane kwenye chakula.

Asubuhi ukiamka unakunywa maji ya moto yenye asali pamoja na juice ya limao..

Mchana unakula vizuri tu kwakuwa unakuwa namizunguko chakula hakikai mwilini bila sababu ya msingi.

Usiku unala kitu chepesi lakini mwisho wa kula iwe saa kumi na mbili au moja..unahakikisha unalala ukiwa haujashiba ndindindi😅😅

Mwanzo ni mgumu lakini ukiweza kufanya ndani ya siku tatu bila kukwama....itakuwa ndo mazoea yako sasa..🥂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…