Unanitafutia kesi wewe sasa. Nyie si mmegoma kunitag mkiweka picha zenu? Kufikia Jumamosi nitakuwa nimemaliza mzigo wangu wa matunda. Nikienda kutafuta mengine tag inawahusu. Mpaka mtabwaga manyanga tu mtanitag hata kama ni kwa shingo upande