Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 20, 2020 #62,901 mkwepu jr said: KitaaView attachment 1511668 Click to expand... Mkwepuuuu Tupia basi hata mkono tuone
mkwepu jr said: KitaaView attachment 1511668 Click to expand... Mkwepuuuu Tupia basi hata mkono tuone
NaddySL JF-Expert Member Joined Nov 6, 2019 Posts 995 Reaction score 5,193 Jul 20, 2020 #62,902 mkwepu jr said: KitaaView attachment 1511668 Click to expand... Onyesha japo kiatu
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Jul 20, 2020 #62,903 Depal said: View attachment 1511233 Click to expand... Khaaah!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Jul 20, 2020 #62,904 SHIMBA YA BUYENZE said: Siyo vizuri hivyo Click to expand... We ulivyonifungulisha picha ya mananasi unafikiri vizuri
SHIMBA YA BUYENZE said: Siyo vizuri hivyo Click to expand... We ulivyonifungulisha picha ya mananasi unafikiri vizuri
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Jul 20, 2020 #62,905 SHIMBA YA BUYENZE said: Wapi hapa? Watu mnakula maisha dah! Huku kijijini Misungwi kukavuuu hata raha hakuna Click to expand... Hata sipajui, nimeikuta tu kwa simu yangu hata sijui imetoka wapi
SHIMBA YA BUYENZE said: Wapi hapa? Watu mnakula maisha dah! Huku kijijini Misungwi kukavuuu hata raha hakuna Click to expand... Hata sipajui, nimeikuta tu kwa simu yangu hata sijui imetoka wapi
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Jul 20, 2020 #62,906 Saint Anne hivi Zoë yuko wapi?
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 20, 2020 #62,907 mkwepu jr said: KitaaView attachment 1511668 Click to expand... Jamani zile like mnazo pewa na mkwepu Jr ni muda na nyie kuonyesha shukrani zenu hapa sasa.
mkwepu jr said: KitaaView attachment 1511668 Click to expand... Jamani zile like mnazo pewa na mkwepu Jr ni muda na nyie kuonyesha shukrani zenu hapa sasa.
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,936 Jul 20, 2020 #62,908 mkwepu jr. You are needed here. Mr pianoman said: Jamani zile like mnazo pewa na mkwepu Jr ni muda na nyie kuonyesha shukrani zenu hapa sasa. Click to expand...
mkwepu jr. You are needed here. Mr pianoman said: Jamani zile like mnazo pewa na mkwepu Jr ni muda na nyie kuonyesha shukrani zenu hapa sasa. Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Jul 20, 2020 #62,909 SHIMBA YA BUYENZE ukuje haraka japo hiyo avatar sijaisoma
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 20, 2020 #62,910 Jael said: Saint Anne hivi Zoë yuko wapi? Click to expand... Hata sijui
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 20, 2020 #62,911 Jurjani said: Ngoja nikuonyeshe sasa, nilipo andika "Kamari Haramu" ulitakiwa ujue ya kuwa sibet sababu kubet ni kamari na kamari ni haramu. Sasa nionyeshe wewe wapi sikujibu swali ambalo hujauliza ? Click to expand... Kamarj kuwa haramu siyo jibu la swali nililouliza. Mbona uzinzi ni dhambi na watu wanafanya!!!?!
Jurjani said: Ngoja nikuonyeshe sasa, nilipo andika "Kamari Haramu" ulitakiwa ujue ya kuwa sibet sababu kubet ni kamari na kamari ni haramu. Sasa nionyeshe wewe wapi sikujibu swali ambalo hujauliza ? Click to expand... Kamarj kuwa haramu siyo jibu la swali nililouliza. Mbona uzinzi ni dhambi na watu wanafanya!!!?!
K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 29,126 Reaction score 29,333 Jul 20, 2020 #62,912 Saint Anne said: Kamarj kuwa haramu siyo jibu la swali nililouliza. Mbona uzinzi ni dhambi na watu wanafanya!!!?! Click to expand... Swali lilikuwa maalumu kwangu, na siyo kwa ujumla, ndiyo maana nikazingatia hilo huku nikijua ya kuwa wana bet watu ndiyo maana ukaniuliza hilo.
Saint Anne said: Kamarj kuwa haramu siyo jibu la swali nililouliza. Mbona uzinzi ni dhambi na watu wanafanya!!!?! Click to expand... Swali lilikuwa maalumu kwangu, na siyo kwa ujumla, ndiyo maana nikazingatia hilo huku nikijua ya kuwa wana bet watu ndiyo maana ukaniuliza hilo.
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 7,967 Reaction score 15,787 Jul 20, 2020 #62,915 ELECTRIC AVENUE
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 21, 2020 #62,916 Jurjani said: Swali lilikuwa maalumu kwangu, na siyo kwa ujumla, ndiyo maana nikazingatia hilo huku nikijua ya kuwa wana bet watu ndiyo maana ukaniuliza hilo. Click to expand... Majibu yako hayakuwa ya swali nililokuuliza
Jurjani said: Swali lilikuwa maalumu kwangu, na siyo kwa ujumla, ndiyo maana nikazingatia hilo huku nikijua ya kuwa wana bet watu ndiyo maana ukaniuliza hilo. Click to expand... Majibu yako hayakuwa ya swali nililokuuliza
K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 29,126 Reaction score 29,333 Jul 21, 2020 #62,917 Saint Anne said: Majibu yako hayakuwa ya swali nililokuuliza Click to expand... Poa. Aisee, hivi Hawachi kapotelea wapi ?
Saint Anne said: Majibu yako hayakuwa ya swali nililokuuliza Click to expand... Poa. Aisee, hivi Hawachi kapotelea wapi ?
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,545 Reaction score 9,774 Jul 21, 2020 #62,918 mtu chake said: Hahahaha, kwa kweli lzm nikaushe, uko vzr sana mno,nimekubali Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Oya unamsifiaje dume mwenzako
mtu chake said: Hahahaha, kwa kweli lzm nikaushe, uko vzr sana mno,nimekubali Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Oya unamsifiaje dume mwenzako
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Jul 21, 2020 #62,919 atlas copco said: Oya unamsifiaje dume mwenzako Click to expand... Hahahaha, mkuu yy kaamua tumuone mdada acha twende nae sawa
atlas copco said: Oya unamsifiaje dume mwenzako Click to expand... Hahahaha, mkuu yy kaamua tumuone mdada acha twende nae sawa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 21, 2020 #62,920 Jurjani said: Poa. Aisee, hivi Hawachi kapotelea wapi ? Click to expand... Nikuulize wewe ustaadh