amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Komaa mpaka dadii wako aweke picha.Weka na wee ni save boom lako, tena uweke ukiwa na gwanda na bunduki huhuhuhuj, stak kukumbuka pale Mgambo kabukuu wale wajeda mxieeeew zao nusu nife dadekiiiiiih.
Komaa mpaka dadii wako aweke picha.Weka na wee ni save boom lako, tena uweke ukiwa na gwanda na bunduki huhuhuhuj, stak kukumbuka pale Mgambo kabukuu wale wajeda mxieeeew zao nusu nife dadekiiiiiih.
Nipo kabuku hapa mgambo wanakusalimiaWeka na wee ni save boom lako, tena uweke ukiwa na gwanda na bunduki huhuhuhuj, stak kukumbuka pale Mgambo kabukuu wale wajeda mxieeeew zao nusu nife dadekiiiiiih.
hahahaha, huu wimbo siku Niko sehemu club ukapigwa ,watu full kuimbaHakika tumeona Tumeuona
Mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, Milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali, Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele.
Kwani ushawahi kuniona nikiandika hadith au Quran?Nilikuaga najua ni mwislamu..![]()
Hahahaha, hapana bana ,sie wengine kdg mtusameheNdiyo weka vyote.
Itakuwa huu Moshi wa jirani yangu unanidhuru.Hahahaha, kwani muda huu uko wapi ? Ukalale au unywe maji ,Savannah zinatosha hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usnambieeeee uko hapo? Auntieeeh nmemic hayo machungwaaah uwiiii.Nipo kabuku hapa mambo wanakusalimia
Picha subiri mpk SAA 5:59Itakuwa huu Moshi wa jirani yangu unanidhuru.
Ila si mbaya weka picha
Acha roho mbaya wewe
hahahaha, huu wimbo siku Niko sehemu club ukapigwa ,watu full kuimba
Sent using Jamii Forums mobile app



Hapa watu wamelewa balaaa walikuwa wanauchezaAcha kwa kweli daddieeeeh, hebu weka pichaaaa mmmmh
Hahahaha, mm niwe na roho mbaya kweli ? Yaani sura iwe mbaya na roho tena ,hahahahaAcha roho mbaya wewe
Kwani ushawahi kuniona nikiandika hadith au Quran?





jaman kamandaaaaah mmmhHahahaha, wimbo mzuriHapa watu wamepewa balaaa walikuwa wanaucheza
Subiri subiri ,selfie SAA hz haitoki GizaAcha kwa kweli daddieeeeh, hebu weka pichaaaa mmmmh
Mimi ni Pentecoste.Dhahania tu mkuu..nilijua hivo!!!
Sorry
Mmmmmh had SAA ngapi?
Wewe usikate tamaa ,hahahaha kwani unalala ?Mmmmmh had SAA ngapi?
Akuuuuuh nasubiriiiiih