cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,974
Kesho SAA 3 usku nalipua zaidi ya leo.Nyingine please..ya kwako [emoji12]
Kesho SAA 3 usku nalipua zaidi ya leo.Nyingine please..ya kwako [emoji12]
Binamu yangu huyo..😂😂 anakusalimia sanaLips sasa mweeeeeh
Nimeshaandika pembeni kesho saa 3 cocastic atalipua jf..😂😂 can't waitKesho SAA 3 usku nalipua zaidi ya leo.
Woyoooooooooooh mashallaaaaaah mlongo uwiiiiiiiiih [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1508985cocastic imetoka hiyoo
Uwiiiiiiih nae msalimieeeehBinamu yangu huyo..[emoji23][emoji23] anakusalimia sana
Yaaan kesho nataka Dunia iwe paused kwa muda. [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshaandika pembeni kesho saa 3 cocastic atalipua jf..[emoji23][emoji23] can't wait
AmeeeenHakika tumeona Tumeuona
Mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, Milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali, Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele.
🤣🤣🤣🤣🤣Yaaan kesho nataka Dunia iwe paused kwa muda. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameeeeeeeeeeeeeeen [emoji120][emoji120][emoji120]Hakika tumeona Tumeuona
Mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, Milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali, Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele.
Uwiiiiiiiiiiiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muda mwema mpendwa..naangusha mdogo mdogoUwiiiiiiiiiiiiih
Hapa hapa lol. Afu uje pm baas nahitaji mafunzo yako.Auntie sasa ukilipua jf tutachat wapi?
Mie ndo namalizia movie nizime pc nidondoshe kimojaaaaah.Muda mwema mpendwa..naangusha mdogo mdogo
Sasa huu ndio muda muafaka wa kujiachia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee daddieee nae lol
HahahahaWeeee daddieeeh nan kakuambia usave? Aaaaaaaaaaah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umesave boom hilo ngoja likulipukie, [emoji23][emoji23][emoji23]
Aya weka picha yako nawee nikuonee.
hahahaha haliweziUmesave boom hilo ngoja likulipukie, [emoji23][emoji23][emoji23]