Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Khaah... Kama juzi kati nilibahatika kukutana na rafiki yangu tuliopptezana kwa muda mrefu.

Aisee kumbe kwa miaka hiyo tuliyopotezana jamaa keshabadilika na yupo na kazi nzuri ya heshima yake hapa mjini...

Katika story mbili tatu nikagundua huyu rafiki yangu keshapotea, sijakaa sawa naona anaanza nishika mkono mara kulamba shingo yangu...

Ilibidi niage kwa kweli, huu mji hawa watu wamejaa sana na hadi kuwagundua ni hadi akuoneshe hizo pigo...
huyo bila shaka atakuwa ni cocastic
 
.
IMG-20200715-WA0039.jpg
 
Back
Top Bottom