Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
Kweli pale parking tabu , tipsy nasogea tu hata kwa miguu
Ile mitaa yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka ni jirani wewe
Kweli pale parking tabu , tipsy nasogea tu hata kwa miguu
Ile mitaa yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi sawaah nakugawa kwa cash dea.[emoji23][emoji23]bora unigawe kwa mkopo kuliko bure[emoji3590]
Basi mimi nitakuwa na damu nyingi sana..ni lazima kila siku nile tembele lililochemshwa na pilipiki ya kutosha😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] Ila tembele tamu sana ukiacha utamu wake pia lina madini mengi ya chuma ambayo hutumika kutengeneza damu...
Kwa wale ambao hupata kasumba ya kupungukiwa dawa i recommend juice ya tembele asubuhi, mchana na jioni...
Nilifanyia research hii kitu [emoji4]
Hakuna, ni wewe tu baas!!Babe nani anakuficha lakini?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi sawaah nakugawa kwa cash dea.
Uwiiiiiiiiiiiih eti eeeeh, sasa kila m1 na life style ake, ndo maan kuna wanao haha, na wa kutulia, kikubwa kufurahia maisha tyuuuuh.
Heeeh puliiiiz daddy hiki ni nn? [emoji2356][emoji2356][emoji2356]*** COVID. We back at it. We workin’. No days off.
#Ain’tNeverScared[emoji1548]
View attachment 1507800
Woyooooooooooooh [emoji3590][emoji3590]Hayo ndo maneno sasa[emoji8]
Basi mimi nitakuwa na damu nyingi sana..ni lazima kila siku nile tembele lililochemshwa na pilipiki ya kutosha[emoji23][emoji23]
Mmmmmmh vibaya hivyo, usingeaga wee ungemueleza tyuh kuwa hapana huusiki na hayo mambo, angekuelewa, ulivoaga ndo ukamfanya a feel worry, na anaweza asiwe na amani juu yako. Hebu tupendane wanadamu mapungufu yapo tyuuh.Khaah... Kama juzi kati nilibahatika kukutana na rafiki yangu tuliopptezana kwa muda mrefu.
Aisee kumbe kwa miaka hiyo tuliyopotezana jamaa keshabadilika na yupo na kazi nzuri ya heshima yake hapa mjini...
Katika story mbili tatu nikagundua huyu rafiki yangu keshapotea, sijakaa sawa naona anaanza nishika mkono mara kulamba shingo yangu...
Ilibidi niage kwa kweli, huu mji hawa watu wamejaa sana na hadi kuwagundua ni hadi akuoneshe hizo pigo...
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hakuna, ni wewe tu baas!!
Mmmmmmh vibaya hivyo, usingeaga wee ungemueleza tyuh kuwa hapana huusiki na hayo mambo, angekuelewa, ulivoaga ndo ukamfanya a feel worry, na anaweza asiwe na amani juu yako. Hebu tupendane wanadamu mapungufu yapo tyuuh.
Ahsantee Karibu nawe piaa
View attachment 1507805
Sio vizuri kweli wee zungumza nae ki staarabu atakuelewa tyuuh, hakuna hata shida sema watu wa kawaida mnachukulia negativity way, inakua tatizo. MmmmmmhHapana kwa kweli. Anapiga simu sana hadi kero
My home. My sanctuary. My heaven on earth.Heeeh puliiiiz daddy hiki ni nn? [emoji2356][emoji2356][emoji2356]
Negative.Washington DC [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]