T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,106
- 30,528
Hahaha.....Mkuu sasa haya mambo gani yakuamshiana minyoo jamani[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nitafunga safari kwenda rock city kula samaki halafu nirudi aise..
Siwezi kusahau kabisa.Usisahau dagaa wa mafuta kunitumia punde ukienda
Hahaha.....
Karibu sana mkuu
Anza kufunga safari uje na ukikwama nambie umekwama wapi ili nikuvute ufike salama na urudi salama.
Hebu rudia kukaweka kwa hisani yanguKuna picha niliitoa Insta huko nikaiweka
Hao dagaa wa mafuta kuna bingwa huwa ananileteaga, wakiisha basi huwa nakosa raha, dagaa wa Mwanza ni kiboko, mbonga moja naipenda sana hasa na ugali, hata wali, ukizikaanga vizuri na vitungu swaumu,tangawizi kidogo na kaliimao, pilipili kidogo unachanganyana kachumbari mambo yanakua matamu sana kwa ugaliSiwezi kusahau kabisa.
Nikienda utapata tu..
Nawaoneaga wivu watu wa mwanza kwenye samaki..
Ninavyopenda kula samaki aliyepikwa kiswazi[emoji3166][emoji3166][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji85][emoji85][emoji85]
Karibu sana ChakoriiNikianza safari nitakujuza kwakweli[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
MmmmmmmhHao dagaa wa mafuta kuna bingwa huwa ananileteaga, wakiisha basi huwa nakosa raha, dagaa wa Mwanza ni kiboko, mbonga moja naipenda sana hasa na ugali, hata wali, ukizikaanga vizuri na vitungu swaumu,tangawizi kidogo na kaliimao, pilipili kidogo unachanganyana kachumbari mambo yanakua matamu sana kwa ugali
Ooh!!kumbe.
Kwema Simara
Mmh hiyo diet ya wapenda kula hiyo
Niache simara[emoji23][emoji23]we niache tu!!Mungu wangu umeimagine nini[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Huo mkono umekaaje?View attachment 1493684
Leo niko stressed kidogo. Niko mahali napata moja moto moja baridi...
Na imani nitakuwa sawa nikiwa naenda kulala...
Niache simara[emoji23][emoji23]we niache tu!!
Mhmmmm...wewe inaonekana unajua kupika aiseh..🤣🤣sasa ndo ukutane na mwanamke asiyejua kupika ndo kabsa utakuwa unalala kwa mama ntilie😅😅😅Hao dagaa wa mafuta kuna bingwa huwa ananileteaga, wakiisha basi huwa nakosa raha, dagaa wa Mwanza ni kiboko, mbonga moja naipenda sana hasa na ugali, hata wali, ukizikaanga vizuri na vitungu swaumu,tangawizi kidogo na kaliimao, pilipili kidogo unachanganyana kachumbari mambo yanakua matamu sana kwa ugali
Amina
Safi saana Baharia, umenata na beats
[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]NILIPOTOKA HAPAFAI MPAKA MGANGA KAROGWA
chilling omView attachment 1494547
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app