Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi najua basi? Ni vitunguu na nyanya. Hapo nilikuwa nataka nitie vyote vilivyobaki humo (dagaa, bamia na mchicha) vitajuana vyenyewe ila mboga ilikuwa tamu kwa kiwango changu. We acha tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki nimecheka, eti vitajuana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…