Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie mbona niliwaambia sina picha
Mi nina bahati mbaya katika uzi huu mpaka basi. Picha pekee ya binti niliyowahi kubahatisha hapa ni ya Makiseo tu. Wengine huwa nakuta zimeshafutwa. Zoë si uweke hata ambayo ulishawahi kuweka hapa halafu ukaifuta? Iti izi onole thrii ofazi. Puliiizi [emoji1545][emoji1545]
 
Wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakarimu sana.

Mimi tumefika jioni akaletwa mbuzi hata sijui.

Asubuhi naambiwa njoo umshike mbuzi.
Mila eti kabla hajachinjwa unatakiwa umshike mbuzi wako.

Alivyochinjwa nikaambiwa amua mwenyewe utamfanyaje.

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tulikuwa na group la marafiki zake Mr wametoka dar yule mbuzi wakamgeuza wao.
Akachomwa, nikapika pilau, nikakaanga burudani kabisa.
 
Safi sana shemeji [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Wewe yako mbona sijawahi kuifuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…