Selfika na JF: Snap it. Show it

Yanani siku hiyo ulinipa mawazo nikasema kwani kumnunulia chakula siku hiyo kuna shida gani? Ila nikakumbuka wewe ni mpare. Kweli bana in a relationship don't invest what you can't afford to lose; mpare hutaki mazoea na pesa yako. Btw ulikuwa unawapa info before kuwa waje wamekula kabisa au ulikuwa unawaambaije? teh
[emoji23][emoji23][emoji23]ilà sis darling umekuwaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe mchokozi sio. Sikuwa na maana hiyo uliyodhani, nilimaanisha siku ya kwanza kuonana sio siku ya kunywa pombe, kulewa na ku-misbehave kwa mtu msiyejuana. Ikibidu soft drinks tu, basi hata "wali maharage" sio vibaya[emoji23][emoji23]
 
Aaaah basi mimi nikawaza nikasema huyu mpare sasa ameshindikana mweeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…