T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
Ajali ya pikipiki mkuuMzee pole sana, umefanya nini tena ?
Akhsante sana
Ajali ya pikipiki mkuuMzee pole sana, umefanya nini tena ?
Akhsante sana ZoëDuuh pole sana
Pole sana mzee baba, vipi nini shida nini kimetokeaAjali haina kingaView attachment 1484951
Aiseeeh pole. Hakuna kitu naogopa kama pikipikiAjali ya pikipiki mkuu
Akhsante sana
Akhsante sana mkuuAiseeeh pole. Hakuna kitu naogopa kama pikipiki
Ajali ya pikipiki mkuuPole sana mzee baba, vipi nini shida nini kimetokea
Pole mkuuAjali haina kingaView attachment 1484951
Naomba nywele.
Amina mpendwa Saint AnnePole mkuu
Mungu wangu akuponye majeraha haraka
Pole sana Ely!! Vimekurudia nini🙈Ajali haina kingaView attachment 1484951
Akhsante JaelPole sana Ely!! Vimekurudia nini[emoji85]
Naomba nywele.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akhsante Jael
[emoji1]Haviwezi kunirudia maana tayari nimeviaga na kuviombea vimufikie mlengwa kwa wakati.
Tulia Jael
Maana sio kwa kipilipili hiki, hakikui[emoji134][emoji134][emoji134]Hahahaha njoo nikupeee
inabidi na wewe uandamane tu sasa hakuna namnaMwee siyo kwa kuandamwa huku
pole sana mkuuAjali haina kingaView attachment 1484951
Dude, pole sana kaka!Ajali ya pikipiki mkuu
Akhsante sana
[emoji1][emoji1]vya kwangu huwa vinamfikia mlengwa moja kwa moja hata kama ana nini vile.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine havitufiki vinakurudia kwa namna ya ajabu usotegemea. Tulia uuguze majeraha bwana!
Hii avatar niliimiss na wewe nimekumiss.Dude, pole sana kaka!