Yaani kumbe nilikuwa naumwa ulcers bila mimi mwenyewe kujua..
Kuna muda nilikuwa nazidiwa..sasa nimefululiza wiki 2 tumbo linanikwangua hatari ndio dkt kwenda kunipima ulcers.
Dawa alizonipa Sasa ndio zina kasheshe..hapa tangu nimemeza juzi sijameza tena,zitaniua
Sijui nifanye Nini,nashindwa kabisa kula, yaani vijiko viwili nishashiba.