Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,794
- 182,965
Weeeh!! Basi sikubahatika kuiona.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nyingine ipo juu huko.. wakati uzi umechachamaa[emoji23]
Weeeh!! Basi sikubahatika kuiona.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nyingine ipo juu huko.. wakati uzi umechachamaa[emoji23]
Ile picha watu waliiona ila wamesahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nyingine ipo juu huko.. wakati uzi umechachamaa[emoji23]
Yako ndiyo sijaiyona[emoji848]Weeeh!! Basi sikubahatika kuiona.
Kabisa.. Watu wamesahau tuu..Ile picha watu waliiona ila wamesahau
Wamesahau Kama waliionaKabisa.. Watu wamesahau tuu..
Halafu imekuwa ya kitambo sana..Wamesahau Kama waliiona
NdiyoHalafu imekuwa ya kitambo sana..
Aaah!! Acha masikhara[emoji134]Yako ndiyo sijaiyona[emoji848]
Uliandika nini ukafuta?Ndiyo
Ila ukiwaonyesha tena watakumbuka Kama walishaiona.
Ngoja nifanye kuileta tena hapa siku moja.. [emoji23]Ndiyo
Ila ukiwaonyesha tena watakumbuka Kama walishaiona.
Nilichangamsha uzi na pichaUliandika nini ukafuta?
KabisaNgoja nifanye kuileta tena hapa siku moja.. [emoji23]
Akiii..Aaah!! Acha masikhara[emoji134]
Naona unautia chajiUzi umepoa sana...View attachment 1479473
Haya hebu irudishe, yaani hata sekunde 3 hazijaisha umefuta[emoji134][emoji134][emoji134]Nilichangamsha uzi na picha
Mie nikiweka huwa naweka full hadi sura, Saint Anne anazo.Akiii..
Hebu nitumie hata PM
Sijawahi kuona yako hapa.. labda unaweka na kufuta..
Naufukizia[emoji23][emoji23]Naona unautia chaji
Weeeeee...Mie nikiweka huwa naweka full hadi sura, Saint Anne anazo.
Halafu ile yako full niliyokuomba bado naisubiri PMAkiii..
Hebu nitumie hata PM
Sijawahi kuona yako hapa.. labda unaweka na kufuta..