Akili zangu hazipo sawa
Senior Member
- Apr 23, 2020
- 160
- 119
Hizo ndio sura za kiume sasa tunazozipenda.Vizuri sana kama hujambo Jael
Mmmh...ka sura kangu kagumu muno mkuu utaona usiku unafukuzwa na Elly
HamnaKumbe!! Mie nilikuwa naona inaonekana kabisa![]()
Kwahiyo umegoma kuweka picha?Hamna
Sidhani kama watu wengi waligundua
Wow!!...wacha weee Jael.Hizo ndio sura za kiume sasa tunazozipenda.
Saint AnneHamna
Sidhani kama watu wengi waligundua
Oooh yeah!Wow!!...wacha weee Jael.
Haya bhanaOooh yeah!
Hivyo hivyo tu.. Fanya namna..
Sasa hapa nilipo ni giza naselfikaje![]()
Sasa picha iko wapi?Haya bhana
Naomba yako kwanza ili na mimi nipate ujasiri wa kuweka yangu mkuu JaelSasa picha iko wapi?
AbeeSaint Anne
Umeanza mambo yako.??Ndo imetoka hiviView attachment 1479636
Mwanaume ni jasiri by nature. Weka picha bwana.Naomba yako kwanza ili na mimi nipate ujasiri wa kuweka yangu mkuu Jael
Jamani jamani, mi mwenyewe mweusi tii, jumlisha na giza sasa ingetokajeUmeanza mambo yako.??



Hahahaha....hapa nilipo kuna giza selfie inazingua.Mwanaume ni jasiri by nature. Weka picha bwana.
Unanicheka au unanizomea?
Haya.Hahahaha....hapa nilipo kuna giza selfie inazingua.