Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
AmenZimefika
AmenZimefika
Oohh angalia usije nogewa tuItabidi niionje siku moja
..with open arms, welcome darling!!Can i come?![]()
Hivi ina kilevi?Oohh angalia usije nogewa tu
Hahahaha ,vingine unajaribu tu mwenyewe ,ujioneeHivi ina kilevi?
Nauliza ili nijue Kama naweza kutumia au siwezi
Kha ni pombe hiyo mamaHivi ina kilevi?
Kha ni pombe hiyo mama

Disembaaaaa, kwa mwaka mara 2 au umesahau?..with open arms, welcome darling!!


Nikajua ni wine isiyo na kilevi..
Basi ishanishinda.



ukajua ni divai isiyo na kileo, sema ni tamu and i can assure you glass moja haileweshi ila ukitaka kujifanya unapeleka chupa nzima hapo watakuokota.ukajua ni divai isiyo na kileo, sema ni tamu and i can assure you glass moja haileweshi ila ukitaka kujifanya unapeleka chupa nzima hapo watakuokota.














Ila Mimi nilishasema siwezi kulewa pombe..Labda wakukamate wakunyweshe siyo? Na hata sikushauri mama!Ila Mimi nilishasema siwezi kulewa pombe..
Yaani na akili zangu timamu nilewe?? wallah siwezi.
Siwez kulewa hata ninywe vipiLabda wakukamate wakunyweshe siyo? Na hata sikushauri mama!
Nzuri
Nzuri
Tema mate chiniSiwez kulewa hata ninywe vipi
Japo kunywa siwezi.
Hili tege ni essential product kunako 6*6
Huwezi kulewa au huwezi kunywa?Ila Mimi nilishasema siwezi kulewa pombe..
Yaani na akili zangu timamu nilewe?? wallah siwezi.