Selfika na JF: Snap it. Show it

Bandu bandu umaliza.....?? Muonja asali haachi kuonjaaaa
, kwahiyo kasie wewe una viuno kama hivyo


Kwenye kuonja sina shida nae, aonje tuu hata mara nne kwa mwezi. Shida itaanza akitaka akaonje kila siku au kila mara weeeh.... Ajiandae kukosa rosti la biringaya na nyanya chungu lililoungwa na tui bubu la nazi na dagaa mchele waliokaushwa na joto hafifu na wenye ladha ya ndimu kwa mbali na pilipili kwa mbali....

Zamani zileee nilikuwa moto chini kiuno kinazunguka mota inasubiri. Sikuhizi hamna kitu, nimezeeka na kukakamaa kama gogo kavu nikilazimisha kukatika tuu navunjika aahahahahahaaa.

Nimekubaliana na hali halisi.
 
Nimecheka had bas, yaan wee mam kubwa unajua kunifurahisha haswaaaah
 
Kah nimesoma mwanzo mpaka mwisho nikanza kusoma mwisho mpaka mwanzo, maana sio kwa maonjo haya,

hivi Kasie ukianza kumuweka kati baba watoto ukitaka kumtoa pesa ukimpanga na maneno haya yenye maonjo yake anachomoka kweli?

wanawake mnatikwa muwe wabunifu na mjue wanauem tunapenda nini sisi wanaume sio mabahiri ila tunapoeta sana tukipangwa na mavionjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…